0 Comment
Mshambuliaji wa Barcelona, Dani Olmo, atakosa kucheza kwa takriban wiki tano baada ya kuumia misuli ya paja la kulia, klabu hito ya LaLiga ilitangaza leo Jumatatu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alipata maumivu ya misuli baada ya kufunga goli katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Girona siku ya Jumapili na alitolewa uwanjani katika... Read More