0 Comment
Na Ashrack Miraji (Fullshangwe Media) Lushoto Tanga: Wananchi wa Kata ya Magamba, wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, wameiomba Serikali kutoa vibali kwa wawekezaji wa mgodi wa boxite ili waweze kujikwamua kiuchumi. Akizungumza kwa niaba ya wananchi Mwenyekiti wa Kitongoji cha Magamba, Mahamudu Kikoti, alizungumza na mwandishi wetu na kusema kuwa mradi huu ni fursa kubwa... Read More