0 Comment
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji Mkoa wa Manyara kutumia elimu na ujuzi walioupata kwenye mafunzo ya uandikishaji wa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza katika mafunzo kwa watendaji hao Jaji wa Mahakama kuu Tanzania, Asina Omar... Read More