0 Comment
Kutoka Kulia Afisa Mteule Rob Van Belcom anayefuata ni akipokea zawadi maalumu kutoka kwa mwenyeji wake Brigedia Jenerali Charles James Ndiege katika hafla iliyofanyika 13,Septemba, 2024 kwenye Ukumbi wa JKT Mbweni uliopo Jijini Dar es Salaam. Afisa Mteule kutoka nchini Uholanzi Rob Van Belkom amepokea tuzo maalumu kutoka kwa Brigedia Jenerali Charles James Ndiege kwenye... Read More