0 Comment
Katika hatua muhimu ya kuendeleza juhudi za serikali za kuhakikisha kuwa raia wote wanapata bima ya afya, kampuni ya bima Tanzania ya Britam ilitoa bima ya afya bure katika hafla ya matembezi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania iitwayo Bima Walk iliyofanyika Dodoma. Matembezi hayo yalikusanyisha wadau wa sekta ya bima na kutumia... Read More