0 Comment
Na WAF – Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote nchini kuanzisha mfumo wa matumizi ya simu za upepo ili kupunguza matumizi ya siku za mkononi ambazo hazina tija kwenye utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Waziri Mhagama ameyasema hayo leo Septemba 12, 2024 jijini dodoma wakati wa uzinduzi wa miradi na... Read More