0 Comment
Na Oscar Assenga. Korogwe. MKUU wa mkoa wa Geita, Martine Shigela ameombwa kuingilia kati mgogoro wa mirathi ya mwanamke mkongwe, Kabula Seni aliyefariki na kuacha nyumba iliyopo mtaa wa Msalala Road miti mirefu mjini Geita. Mgogoro huo unadaiwa kuibuliwa na Diwani wa viti maalumu Geita, Khadija Mfuruki anayedaiwa kushinikiza fedha zitokanazo na mauzo ya nyumba... Read More