0 Comment
Na.Edmund Salaho – Kyerwa Kagera Serikali imetoa kiasi cha Tsh. Billioni 3.9 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Ibanda – Kyerwa iliyoko mkoani, Kagera. Akikagua miradi ya ujenzi wa miundombinu hiyo Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Musa Juma Kuji alisema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetupa upendeleo... Read More