0 Comment
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mateka Halmashauri ya mji Mbinga mkoani Ruvuma,wakichota maji jana baada ya kukamilika kwa ukarabati wa mradi wa maji ya bomba ulioharibika kwa zaidi ya miaka 21. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira katika mji wa Mbinga(Mbiuwasa)Mhandisi Yonas Ndomba kushoto,akicheza ngoma ya asili na baadhi... Read More