0 Comment
Naibu Katibu Mkuu wa Maji,Agness Meena (katikati), akihoji jambo alipokagua mradi wa chanzo cha Butimba, leo.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa MWAUWASA, Neli Msuya. Meneja Miradi wa MWAUWASA, Celestine Mahubi,akimfafanulia Naibu Katibu Mkuu wa Maji, Agness Meena (katikati), ufanisi wa mabwawa ya kusafisha maji ya mradi wa Butimba, leo. Naibu Katibu Mkuu wa Maji , Agness Meena... Read More