0 Comment
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogogolo, amesema serikali imejipanga kikamilifu kuanza ujenzi wa barabara katika Kata za Kivule, Mzinga, Kipunguni na Kitunda,kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam (DMDP) . Ameyasema hayo Dar es Salaam,akiwa katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa kata hizo. Amesema... Read More