0 Comment
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi wa kilichobadilika kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi, ulioanza jana na unakamilika leo. Katika toleo letu la jana, tulikuwa na habari kuhusu mtihani huo ikiwa na kichwa kilichosomeka “Darasa la VII kuanza leo siku mbili za mitihani mipya ‘migumu’”. Hata hivyo, katika taarifa yake jana kwa... Read More