0 Comment
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Eliakim Maswi, akizungumza katika hafla fupi ya uzinduzi wa basi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), itakalowasaidia watumishi wake katika utoaji wa huduma kwa wananchi hafla uliofanyika leo Septemba 13,2024 jijini Dodoma. Mwenyekiti wa THBUB Jaji mstaafu Mathew Mwaimu,akizungumza katika hafla fupi ya uzinduzi... Read More