0 Comment
Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Olipa Chitongo amekutana na wahitimu wa Shule ya Msingi Nyabihanga Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera na kuwapa Elimu na mbinu ya kuepuka vishawishi mara baada ya kuhitimu elimu yao ya Msingi. Mkaguzi huyo ametoa elimu hiyo kwa wahitimu hao huku akiwataka kuto kukubali kuwashawishiwa... Read More