0 Comment
Septemba 10, 2024: Airtel Africa Foundation imezindua programu maalum ya uanazouni iitwayo ‘Airtel Africa Fellowship’ itakayowanufaisha wanafunzi wa shahada ya kwanza ya IIT Madras Zanzibar ambayo ni kampasi ya kigeni ya kwanza kuwahi kuanzishwa na IIT. Programu ya ‘Airtel Africa Fellowship’ inalenga kuwasaidia wanafunzi wanaotoka kwenye uchumi na jamii mbalimbali ambao wanastahiili kujiunga na shahada... Read More