0 Comment
Israel imesema Alhamisi imewauwa wanamgambo sita wa Kipalestina katika mapigano mapya ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu na walowezi, akiwemo mtoto wa mwanamgambo mashuhuri aliyefungwa gerezani. Mashambulizi hao ya sasa yalikuwa ni sehemu ya uvamizi mkubwa zaidi katika eneo hilo katika wiki iliyopita ambayo Wapalestina wanahofia kuwa inaweza kuongeza vita vya Israel dhidi ya wanamgambo... Read More