0 Comment
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi,akizungumza na moja wa mteja mara baada ya kuzindua Kituo cha Huduma kwa Mteja ,uzinduzi huo umefanyika katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA WIZARA ya Katiba na Sheria imezindua Kituo cha Huduma kwa Mteja huku Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama... Read More