0 Comment
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka Walimu wa Hesabu kuwaandaa wanafunzi na vijana kujikita katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) ili kupata fursa ya kushiriki maendeleo ya Dunia katika zama hizi za kidijiti. Hayo yamebainishwa leo na mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dr Jabir Bakari katika Mafunzo ya Muda... Read More