Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli _ Septemba 2024 (1. The post Bei ya mafuta yashuka, hizi ni bei mpya kwa mikoa yote appeared first on SwahiliTimes.
Na Mwandishi wetu, Simanjiro DIWANI wa Kata ya Edonyongijape Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Jacob Kimeso amechaguliwa kwa kipindi kingine cha tatu kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri huchaguliwa kila mwanzo wa mwaka wa fedha unapoanza na huu utakuwa mwaka wa tatu mfululizo Kimeso ameshika nafasi hiyo. Awali, Kaimu DED... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais... Read More
*NI KATIKA NCHI ALIZOHUDUMU KULINDA AMANI, WASHIRIKI WAIPOKEA MBINU HIYO Na Abel Paul Chicago Marekani. Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo kwa askari wa kike na wasikamizi wa sheria duniani yanayoendelea Chicago Nchini Marekani suala la Uzoefu katika Masuala ya Polisi Jamii nalolikatolewa na kamishna wa Polisi Utawala na menejimenti ya rasilimali watu katika maeneo aliyohudum... Read More
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano 9 wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (9th Ministerial Conference of the Forum on China-Africa Cooperation) uliofanyika tarehe 3 Septemba 2024 jijini Beijing, China. Mkutano huo pamoja na... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 4, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 4, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Waandishi bunifu nchini, wameombwa kuendelea kuwasilisha miswada kwa ajili ya kushindania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa Mwaka 2024/25 . Mwenyekiti wa kamati ya Taifa inayosimamia utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi Ubunifu ya Mwalimu Nyerere Prof. Penina Mlama amezungumza na waandishi wa habari leo Septemba 3, 2024 na kuwaeleza... Read More
Na Mwandishi Wetu MIONGONI mwa mataifa ya Kiafrika yaliyojenga misingi imara ya ustahamilivu ni Tanzania. Katika nyanja zote za kisiasa, kijamii na kiuchumi kuna funzo kubwa limeachwa na waasisi wa taifa hili. Ndiyo maana panapotokea mtu au kikundi cha watu kikikosa ustahamilivu kwenye maeneo fulani si ajabu kuulizana mtu huyo anatokea wapi, hata kufikia kutilia... Read More
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Jumla ya waombaji laki moja elfu ishirini na nne mia mbili Themain na sita (124,286) wametuma maombi ya kujiunga katika vyuo vikuu themanini na sita (86) vilivyoidhinishwa kudahili wanafunzi katika shahada ya kwanza, na jumla ya programu 856 zimeruhusiwa kudahili ikilinganishwa na programu 809 mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la... Read More