0 Comment
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka katika kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo amepania kuwainua vijana na kuwaondoa katika wimbi la umasikini kwa kuwachangia gharama mbali mbali kwa ajili ya kuanzisha kampuni ya umoja wa vijana wa (UVCCM) Wilaya ya Kibaha mjni ambayo itawasaidia katika kujikwamua kiuchumi. Koka ametoa kauli... Read More