0 Comment
Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo Ijumaa Agosti 30, 2024, imetembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato pamoja na mradi ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami wa njia nne ya mzunguko (Outer Ring Road) nje ya jiji la Dodoma yenye urefu... Read More