Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha JUMUIYA ya Wanawake (UWT)Kibaha Mjini, Mkoani Pwani, imetoa wito kwa wanawake kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo na kuboresha huduma za kijamii, huku ikisifu juhudi zake za kuleta mapinduzi kwenye sekta za usafirishaji, uwekezaji, nishati safi na uwezeshaji kwa wanawake. Mbaraza kutoka UWT Mkoani Pwani, Mariam Ulega... Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga (Kulia) akipata maelezo kuhusiana na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Samia Arusha Afcon City kutoka kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Arusha Geofrey Mwamsojo (wa nne kushoto) alipokwenda kukagua utekelezaji mradi huo tarehe 28 Agosti jijini Arusha. Na Munir Shemweta, WANMM... Read More
NA WILLIUM PAUL, DODOMA. VIJANA wa Chama cha Mapinduzi wametakiwa kutengeneza msingi imara katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba mwaka huu ili kuhakikisha Chama kinashinda kwa kishindo kwani ndio Dira ya kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi UVCCM kutoka makao makuu, Kajoro Vyohoroka wakati alipokuwa akitoa semina ya kuelekea... Read More
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Umoja wa wanawake Wilaya ya Kibaha mjini (UWT) katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza ilani ya chama kwa vitendo imeamua kufanya kongamano kubwa la kumpongeza kwa dhati kutokana na kutenga fedha ambazo zimekwenda kuwasaidia kwa kiasi kikubwa kutekeleza miradi mbali... Read More
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeelezea dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wafanyabishara wadogo, wa kati na wakubwa kupitia huduma zake mbalimbali za kibenki ili kuchochea ukuaji wa uchumi na mchango wa wadau hao katika kufanikisha agenda ya Uchumi wa Buluu na uwezeshaji wa maendeleo visiwani Zanzibar. Dhamira hiyo imesisitizwa na Meneja wa benki... Read More
Bournemouth imemsajili mlinda mlango wa Chelsea Kepa Arrizabalaga kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima, vilabu vyote viwili vya Premier League vilisema Alhamisi. Kepa, 29, ambaye alikuwa ameingia mwaka wa mwisho wa kandarasi yake, pia aliongeza mkataba wake na Chelsea hadi 2026, na kuhakikisha kwamba haondoki katika klabu hiyo bila ada ya uhamisho ifikapo mwisho... Read More
Vilabu vingi vinataka kumsajili winga wa kimataifa wa Ufaransa na Bayern Munich Kingsley Coman wakati wa usajili wa majira ya kiangazi. Kwa mujibu wa habari zilizopokelewa na gazeti la Uingereza la “Daily Mail” Arsenal inatarajia kukamilisha dili hilo kabla ya Mercato kufungwa. Koeman amekuwa akihusishwa na kutaka kujiunga na Ligi ya Saudia, pamoja na Paris... Read More
Jumuiya ya afya ya Umoja wa Afrika imetangaza kuwa inakaribia kupata dozi karibu milioni moja za chanjo ya mpox, huku ikihimiza watengenezaji wa chanjo kushirikiana katika teknolojia ya utengenezaji ili kupambana na ugonjwa huu. Mkurugenzi Mkuu wa Vituo vya Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC), Jean Kaseya, alifafanua kwenye mkutano wa WHO uliofanyika Congo-Brazzaville kwamba Afrika... Read More
RB Leipzig wanataka kuongeza beki wa Benfica Antonio Silva kabla ya dirisha la uhamisho kufungwa, chanzo kilithibitishwa na Tom Hamilton wa ESPN. Huku Mohamed Simakan akitarajiwa kuondoka katika klabu hiyo siku chache zijazo, Leipzig wanamtazama mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno kama chaguo la kuimarisha safu yao ya ulinzi. Chanzo kimoja kiliithibitishia ESPN kwamba dili... Read More