0 Comment
Mwanaume mmoja nchini Uganda anayetambulika kwa jina la Ddamulira Godfrey anashikiliwa na polisi baada ya kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya binadamu ambavyo anadaiwa kuwa alikuwa akivitumia kwa ajili ya kafara. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Patrick Onyango, amesema mtuhumiwa huyo atashtakiwa chini ya Sheria ya Kuzuia na Kupiga Marufuku Kafara za Binadamu na... Read More