Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kuzindua na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Saidi Mtanda amewataka watoa huduma za afya kwa njia ya tiba asili nchini kushirikiana na Serikali kukemea na kutokomeza vitendo vya ukatili ndani ya jamii Read More
DAR ES SALAAM: The Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) is planning to empower its members to be in a good position to access various tenders announced by both the public and private sectors. This statement was made on Wednesday by TWCC’s Executive Director, Mwajuma Hamza, during a one-day workshop for young and female entrepreneurs... Read More
Naibu katibu mkuu Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar Omar Ali Shehe amesema atahakikisha anakisaidia chama kuibuka kuwa washindi wa nafasi ya Urais Zanzibar katika uchaguzi mkuu 2025. Omar ameyasema hayo leo Oktoba 28 mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika ofisi ndogo za makao makuu ya Chama hicho Vuga Mjini Unguja kufuatia kuteuliwa kwake kushika... Read More
Na Dulla Uwezo Kikosi cha Timu ya Yanga Africans Kimewasili salama Bukoba Mjini Tayari kuzitafuta alama Tatu Muhimu, katika Mchezo wao utakaopigwa Tarehe 29 Agosti katika Dimba la Kaitaba dhidi ya Wenyeji wao Kagera Sugar Wanankurukumbi. Kikosi Kimewasili majira ya Saa Sita Mchana na Ndege, Kisha Kuelekea mapumZiko mafupi Hotelini kabla ya Kufanya Mazoezi jioni... Read More