0 Comment
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi karibuni kwa wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kuhusiana na uboreshaji wa huduma za jamii yanatekelezwa. Chana ametoa kauli hiyo alipotembelea makao makuu ya ofisi za Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na kuongea na Menejimenti... Read More