0 Comment
Kylian Mbappé alionyesha kiwango kizuri, akifunga bao lake la kwanza la La Liga akiwa na Real Madrid walipoilaza Real Betis 2-0 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu. Ushindi huo umeifanya Madrid kushika nafasi ya pili kwenye jedwali la ligi. Mbappé alikabiliwa na shutuma kwa kushindwa kufunga katika mechi tatu za awali za ligi ya Madrid. Hata... Read More