0 Comment
Na Mwandishi Wetu,DmNews tz online MWENYEKITI wa Serikali ya mtaa wa Kibugumo katika Halmashauri ya Wilaya Kigamboni Yusuph Selemani Tindwa Amesema kuwa katika kipindi cha uongozi wake amejitahidi kutatua Kwa kiwango kikubwa kero ya migogoro ya ardhi. Amesema wakati anaingia madarakani mwaka 2019 mtaa wa kibugumo ulikuwa na changamoto kubwa ya ardhi lakini baada... Read More