0 Comment
Na. Elimu ya Afya kwa Umma. KATIKA utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, Wadau wa sekta ya Afya kutoka Tanzania Bara na Tanzania Visiwani kwa kushirikiana na Shirika la Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa la Afrika (Africa CDC) pamoja na Wadau wengine leo tarehe 3, Septemba, 2024 wamekutana Jijini Dar es... Read More