0 Comment
Na Mwandishi Wetu WATU 6,597 miongoni mwao wakiwemo wajasiriamali 97 katika wilaya tano za Karatu, Ngorongoro- Loliondo, Monduli, Longido na Arusha DC wamepatiwa elimu na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusiana na viwango. Elimu hiyo ilianza kutolewa na maofisa wa TBS katika wilaya hizo za Mikoa ya Arusha na Manyara kuanzia... Read More