0 Comment
Mahakama Kuu Dar es Salaam, imelielekeza Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo viongozi wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Temeke wanaodaiwa kupotea tangu Agosti 18, mwaka huu. Akitoa taarifa hiyo, Wakili Peter Madeleka ambaye anasimamia upande wa mashtaka dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Kamanda wa Polisi Kanda... Read More