0 Comment
Naibu katibu mkuu Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar Omar Ali Shehe amesema atahakikisha anakisaidia chama kuibuka kuwa washindi wa nafasi ya Urais Zanzibar katika uchaguzi mkuu 2025. Omar ameyasema hayo leo Oktoba 28 mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika ofisi ndogo za makao makuu ya Chama hicho Vuga Mjini Unguja kufuatia kuteuliwa kwake kushika... Read More