0 Comment
Na Dulla Uwezo Kikosi cha Timu ya Yanga Africans Kimewasili salama Bukoba Mjini Tayari kuzitafuta alama Tatu Muhimu, katika Mchezo wao utakaopigwa Tarehe 29 Agosti katika Dimba la Kaitaba dhidi ya Wenyeji wao Kagera Sugar Wanankurukumbi. Kikosi Kimewasili majira ya Saa Sita Mchana na Ndege, Kisha Kuelekea mapumZiko mafupi Hotelini kabla ya Kufanya Mazoezi jioni... Read More