Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeiongezea bajeti Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) Wilaya ya Busega iliyopo mkoani Simiyu kutoka shilingi milioni 500 hadi shilingi bilioni 2.4. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Busega, Mhandisi Mathias Mgolozi mapema wiki... Read More