Kocha wa zamani wa Liverpool Jurgen Klopp ndiye anayelengwa na Ujerumani kuchukua nafasi ya Julian Nagelsmann ikiwa kocha huyo wa zamani wa Bayern Munich ataondoka baada ya Kombe la Dunia la 2026. Trent Alexander-Arnold amekataa kukabidhi mustakabali wake kwa Liverpool baada ya msimu huu wa joto, akidai mataji ndiyo yatakayoamua katika mazungumzo yake ya kandarasi.... Read More