0 Comment
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza Mawaziri zaidi ya 70 kutoka mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) kujadili masuala mbalimbali ya uchumi wa buluu ili kuweka mkakati wa pamoja kuimarisha sekta ya uvuvi. Hayo yamebainishwa leo Agosti 29, 2024 na Waziri wa Mifugo na... Read More