NI Mwigizaji wa Filamu, Steve Nyerere ameibuka mtandaoni na kuzungumzia sakata la Mjasiriamali Niffer kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchangisha Fedha za maafa ya Ajali ya Kariakoo pasipokuwa na kibali cha Serikali.
The post Sakata la Niffer, Steve Nyerere afunguka mazito ‘tumuombee msamaha, hajui, tusimuhukumu mtu, chuki’ first appeared on Millard Ayo.