Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Ruangwa Combine, bungeni jijini Dodoma, Februari 6, 2025. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Programu za Timu za Vijana za Mpira wa Miguu, Ruangwa Mwinyi Zahera na kushoto ni Mbunge wa Mchinga Mama Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Ruangwa Combine, bungeni jijini Dodoma, Februari 6, 2025. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Programu za Tumu za Vijana za Mpira wa Miguu, Ruangwa Mwinyi Zahera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)