Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi na ugawaji wa Boti kubwa za kisasa 120 pamoja na boti saidizi 118 kwa nchi nzima. Kwa upande wa Mkoa wa Tanga, Rais Mhe. Dkt. Samia amekabidhi boti kubwa 30 kati ya 35 pamoja na boti saidizi 60 kwenye hafla iliyofanyika Pangani mkoani humo tarehe 26 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua ugawaji wa Boti kubwa za kisasa 120 pamoja na boti saidizi 118 kwa nchi nzima. Kwa upande wa Mkoa wa Tanga, Rais Mhe. Dkt. Samia amekabidhi boti kubwa 30 kati ya 35 pamoja na boti saidizi 60 kwenye hafla iliyofanyika Pangani mkoani humo tarehe 26 Februari, 2025.