Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameitembelea na kuijulia hali familia ya aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango marehemu Lawrence Mafuru nyumbani kwao Bunju “A” Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Machi 2025. (Pichani wakiwa na Mjane wa Marehemu – Bi Noela Mafuru)