RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karume Mwera Wilaya ya Kati Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-3-2025.(Picha na Ikulu)
WANANCHI na Walimu mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karume Mwera Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-3-2025.(Picha na Ikulu)