Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Nzega Mjini mkoa wa Tabora, Machi 13, 2025. Kushoto ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangwala , Wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Sikonge na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Cornel Lucas Magembe, kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nassoro Hamdan na wa pili kulia ni Katibu wa Mbunge wa Nzega, Mjini Salim Abdul. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mabasi Nzega Mjini kuzindua mradi wa ujenzi wa kituo hicho na kuzungumza na wananchi, Machi13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Nzega Mjini mkoa wa Tabora, Machi 13, 2025. Kushoto ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangwala , Wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Sikonge na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Cornel Lucas Magembe, kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nassoro Hamdan na wa pili kulia ni Katibu wa Mbunge wa Nzega, Mjini Salim Abdul. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kikata utepe kuzindua Mradi wa Kituo cha Mabasi cha Nzega Mjini, Machi 13, 2025. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangwala, Mkuu wa wilaya ya Nzega,Naitapwaki Tukai , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, Mkuu wa wilaya ya Sikonge na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Cornel Lucas Magembe, Mbunge wa Bukene, Selemni Zedi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nassoro Hamdan na kulia ni Katibu wa Mbunge wa Nzega Mjini Salim Abdul. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua mabanda ya Biashara alipozindua mradi wa Kituo cha Mabasi cha mabasi ya Nzega Mjini, Machi 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua mradi Kituo cha Mabasi cha Nzega Mjini, Machi 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waananchi wakimsikiliza, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kuzindua kituo cha mabasi cha Nzega Mjini, Machi 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)