RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Arafa Mohammed Said, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Lumumba akipatiwa matibabu, wakati wa ziara yake kuwatembelea Wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Daktari Bingwa wa upasuaji Dr. Haitham Hamoud.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Arafa Mohammed Said, akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Lumumba akipatiwa matibabu, wakati wa ziara yake kuwatembelea Wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo na (kushoto kwa Rais) Daktari Bingwa wa upasuaji Dr. Haitham Hamoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanafamilia katika kuitikia dua kumuombea Bi.Arafa Mohammed Said, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Lumumba akipatiwa matibabu, ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh.Halid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Daktari Bingwa wa Upasuaji Dr. Haitham Hamoud.(Picha na Ikulu)