Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar, Mzee Mngereza akizungumza wakati wa uzunduzi wa wiki ya Afya Zanzibar (Zanzibar Afya Week 2025) jijini Dar es Salaam leo Aprili 11, 2025. Maadhimisho ya Wiki ya Afya yanatarijiwa kuanza Mei 4 na kumalizika Mei 10,2025.
Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabyela akizungumza wakati wa uzunduzi wa wiki ya Afya Zanzibar (Zanzibar Afya Week 2025) jijini Dar es Salaam leo Aprili 11, 2025. Maadhimisho ya Wiki ya Afya yanatarijiwa kuanza Mei 4 na kumalizika Mei 10,2025
Mgangaa Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohamed Mang’una akizungumza wakati wa uzunduzi wa wiki ya Afya Zanzibar (Zanzibar Afya Week 2025) jijini Dar es Salaam leo Aprili 11, 2025. Maadhimisho ya Wiki ya Afya yanatarijiwa kuanza Mei 4 na kumalizika Mei 10,2025.