Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Tume ya Rais ya Kutathimini na Kushauri kuhusu masuala ya Kodi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi. Ombeni Sefue, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Mei 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume ya Rais ya Kutathimini na Kushauri kuhusu masuala ya Kodi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi. Ombeni Sefue, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Mei 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathimini na Kushauri kuhusu masuala ya Kodi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi. Ombeni Sefue, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Mei 2025.