Hakuwa mtu wa kujionesha, lakini kila aliyekuwa karibu naye alijua changamoto yake kubwa ilikuwa ni uzito. Alikuwa na mwili mkubwa tangu utotoni na hilo lilimletea matatizo ya kisaikolojia. Alikua mtu wa kujificha, hakupenda kupigwa picha na kila mara aliona watu wanamcheka. Jina lake ni Hellen,…….. SOMA ZAIDI