Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa ulioanza Mei 12, 2025, katika ukumbi wa Sofitel jijini Abidjan nchini Ivory Coast. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara kushiriki kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa ulioanza Mei 12, 2025 jijini Abidjan nchini Ivory Coast. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)