Ilikuwa ni Jumamosi ya huzuni kwa Mwanajeshi wa KDF baada ya kufika nyumbani kwake na kuangua kilio baada ya kupokea habari za kusikitisha za jinsi ambavyo mkewe alitumia vibaya fedha zake ambazo alikuwa akimtumia. Kwa miaka mitatu akiwa katika uwanja wa vita, Mwanajeshi huyo alikuwa akimtumia mkewe mshahara wake wote. Hata hivyo, mkewe alighushi taarifa …..SOMA ZAIDI