RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini wa Mkataba wa mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 240 unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ajili ya ujenzi wa Skuli za Kisasa za ghorofa 23, wakisaini mkataba kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Dkt. Juma Malik Akili na kwa upande wa CRDB akisaini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Abdulmajid Nsekela, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025.(Pichas na Ikulu)
WATENDAJI Wakuu wa Benki ya CRDB wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli za Kisasa Zanzibar, unaotolewa na benki hiyo kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025.(Picha na Ikulu).
BAADHI ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 zilizotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghoroa za kisasa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Watendaji Wakuu wa PDB na Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi wa shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiaga na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajis Nsekela, baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025.(Picha na Ikulu)