Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Juni 3, 2023 amehani msiba wa marehemu Mtwa Xaviery Lukuvi ambaye ni mdogo wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu , William Lukuvi (kulia), nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam.