Tarehe 17 Mei 2025, Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad alikutana na Mshauri wa Rais wa Msumbiji katika Masuala ya Uchumi na Maendeleo, Dkt. Mateus Magala na kuzungumza naye masuala mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Uchumi baina ya Tanzania na Msumbiji.